News & Events

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in menu_set_active_trail() (line 2405 of /home/acctco/public_html/includes/menu.inc).

ACCT wamejenga Kisima no 452 katika kitongoji cha Ipanga

Chama cha Makandarasi wazalendo Tanzania (ACCT) kwa kushirikiana na kampuni ya Afro Supplies Ltd, ili kumuenzi Mzee Mahamudu Jessa aliyekuwa mkurugenzi wa Afro Supplies Ltd kama kumbukumbuku na thawabu; wamejenga Kisima no 452 katika kitongoji cha Ipanga, kijiji cha Nyabubinza kata ya Mataba, Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu.

TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA NANE WA MWAKA

Kutakua na Mkutano Mkuu wa Mwaka (8th AGM) wa Chama cha Wakandarasi Wazawa siku ya Jumatano na Alhamisi ya 24 na 25 Aprili 2019 utakaofanyika katika Ukumbi wa Kunduchi Beach Hotel (Ledger Plaza), Dar es Salaam

MUDA: Kuanzia Saa Mbili kamili Asubui hadi Saa Kumi jioni

KAULI MBIU: Uendelefu wa Biashara ya Ujenzi nchini Tanzania- Jinsi ya kuboresha mazingira ya Biashara
MGENI RASMI: Tunatarajia kua na Katibu Mkuu- Wizara ya Ujenzi

WANACHAMA WOTE NA WAGENI WAALIKWA KUHUDHURIA BILA KUKOSA.

KWA MAWASILIANO, PIGA SIMU: 0762 074441 AU TUMA BARUA PEPE INFO@ACCT.CO.TZ

BI. ANGELA JOSEPH
KATIBU MTENDAJI- ACCT

SEMINA YA NAMNA YA KUANDAA ZABUNI ZENYE UFANISI KATIKA SEKTA YA UMMA

Chama cha Makandarasi wazalendo (ACCT) inakualika kwenye Semina inayolenga kumjengea mkandarasi uwezo katika nyanja mbalimbali za ujazaji na ushindani wa zabuni, ujazaji wa gharama inayotekelezeka katika kufanya mradi, utekelezaji na usimamizi wa mkataba wa mradi, vitu vinavyopaswa kufanyika na visivyopaswa kufanyika wakati wa kuandaa zabuni, na mikakati mbalimbali inayoweza kutumika ili kuweza kushinda zabuni.

Mada: Namna ya kuandaa zabuni zenye ufanisi katika sekta ya Umma "Preparing Successful Tenders for the Public Sector"

Ada ya Ushiriki: Wanachama ni Tsh. 300,000/= na kwa wasio Mwanachama ni Tsh. 350,000/= kwa kila mshiriki

Tarehe: 16 & 17 August, 2018 (Alhamis & Ijumaa)

Muwezeshaji “Facilitator”: Dr. Ramadhan Mlinga

Mahali: Dar -es -Salaam.

Wanaopaswa kuhudhuria: Semina hii inawalenga Makandarasi, Washauri, Maafisa ununuzi, Maafisa ugavi na wadau wote wa sekta ya ujenzi wanaalikwa kuhudhuria ili kuweza kujifunza na kuongeza uelewa zaidi katika tasnia hii.

Makandarasi wote mnakaribishwa kushiriki, Tafadhali thibitisha uwepo wako kupitia Email : info@acct.co.tz, au piga simu 0762 074 441.
Pia tunakaribisha wadhamini kutumia fursa hii kwa ajili kutangaza biashara zao.

ACCT imekutana na Mkandarasi wa Standard Gauge kwa lengo la kushirikiana na wakandarasi wazawa

Baada ya kuona tangazo la kazi za mradi wa Standard gauge Team ya ACCT ikiongozwa na Mwenyekiti leo tumekutana na  Rahco na Mkandarasi mkuu (Yapi Merkezi) kuangalia namna ya kushirikisha makandarasi wazawa kwa kuwapa kazi ndogondogo mbalimbali katika mradi huo ili kujenga uwezo wa wazawa.

NAFASI ZA MAFUNZO KWA MAFUNDI

Chama cha Makandarasi (ACCT) kilifanya utafiti na kubaini baadhi ya mapungufu katika kandarasi za wazawa ambazo zinasababisha makandarasi hawa kushindwa kuhimili ushindani na kampuni za makandarasi kutoka nje, sababu mojawapo ni ujuzi na uelewa mdogo wa Mafundi ambao ndio watekelezaji wa kazi hizo. Mbali na kufanyakazi kwa mazoea, mafundi hawa hukosa taaluma sahihi kwenye fani yao ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi unaotakiwa ili kuhimili soko la ushindani kwani walio wengi wamejifunza kazi wakiwa site.

Study tour in FINLAND and SWEDEN

Kindly be informed that the External Affairs, Research and Development Subcommittee has organized a study tour in FINLAND and SWEDEN.

When: 24th September to 05th October
Participation Fee: USD 4,500 For Members, USD 4,800 for Non Members
Terms of Payment: 1st Installment USD 2,000 for members, USD 2,500 for Non Members - Deadline 10th August 2017
2nd Installment USD 2,500 for members, USD 2,300 for Non Members
- Deadline 15th September 2017

Coverage of participation Fee: Round Flight Ticket, Internal transport, Visa, Tour Health Insurance, Accommodation with Breakfast and Lunch.
Limit of participants: 30 participants, Program of the tour will be sent to you after when we receive it from our hosts. Register now, the first in the first considered. Confirmation will be subject to payment of 1st Installment

You are all welcome

ACCT, Together we can

AFRICAN CONSTRUCTION AND TOTALLY CONCRETE EXPO

The 5th annual African Construction and Totally Concrete Expo - Africa 's mega construction and infrastructure show and biggest gathering of 9000 qualified buyers and sellers for the entire built environment value chain. In 2017 the event features an indoor/outdoor exhibition with 6 new dedicated zones including Concrete and Cement, MEP, Surfaces and Finishes, Tools and Equipment, Digital Construction and Construction. With a robust workshop programme , the event provides FREE HOT (hands on technical) training fro professional development and skill building to Create Africa's leading event for built environment professionals.

Pages