TANGAZO! TANGAZO!

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/acctco/public_html/includes/menu.inc).

Salaams mpendwa mwanachama,

ACCT inapenda kukukaribisha kwenye mafunzo ya siku moja ya Utumiaji bora wa mfumo wa manunuzi ya umma kwa kutumia mtandao (Training on using of TANEPS system).

Lini: Ijumaah, 30 Julai 2021

Wapi: Dar es Salaam

Eneo: Kebby’s Hotel

Muda: From 9.00am- 4.00pm

Kinachoitajika: Tafadhali beba Laptop au Tablet yako

*Gharama za ushiriki*

  1. Tshs. 150,000/= Mwanachama
  2. Tshs. 200,000/= Kwa asiye Mwanachama

Tafadhali thibitisha ushiriki wako pamoja na kufanya malipo.

+255 762 074 441

(itasomeka Association of Citizen Contractors)

Wasiliana na: LEVINA H. MURO

Pia unaombwa kuwaalifu na kuwaalika wengine ambao si wanachama wa ACCT ambao nao watafaidika na mafunzo haya.

AHSANTE